The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 5 › Waamuzi 5:26

Waamuzi 5:26

Akanyoosha mkono wake 2 akashika kigingi cha hema, 1 mkono wake wa kuume 2 ukashika nyundo ya fundi. 1 Akampiga Sisera kwa nyundo, 2 akamponda kichwa chake, 1 akamvunjavunja na kumtoboa 2 paji lake la uso. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

She put her hand to the nail, and her right hand to the workmen’s hammer; and with the hammer she smote Sisera, she smote off his head, when she had pierced and stricken through his temples.

In Context

25Aliomba maji, naye akampa maziwa; 2 kwenye bakuli la heshima 2 akamletea maziwa mgando. 1

27Aliinama miguuni pa Yaeli, 2 akaanguka; akalala hapo. 1 Pale alipoinama miguuni pake, 2 alianguka; 1 pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, 2 akiwa amekufa. 1

Read all of Waamuzi 5

Cross References

Judges 4:21Ndipo Yaeli, mkewe Heberi, akatwaa kigingi cha hema, akachukua nyundo mkononi mwake, akamwendea polepole, akiwa amelala usingizi, akiwa amechoka. Akakigongomea kile kigingi kwenye paji la uso wake, kikapenya hata kuingia ardhini, naye akafa.

2 Samuel 20:22Ndipo huyo mwanamke akaenda kwa watu wote akiwa na ushauri wake wa busara, nao wakakata kichwa cha Sheba mwana wa Bikri na kumtupia Yoabu. Kwa hiyo Yoabu akapiga tarumbeta, na watu wake wakatawanyika kutoka mjini, kila mmoja akirejea nyumbani kwake. Naye Yoabu akarudi kwa mfalme huko Yerusalemu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 5:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 5:25Waamuzi 5Waamuzi 5:27 →