bible.software › Waamuzi › Waamuzi 5 › Waamuzi 5:27
Waamuzi 5:27
Aliinama miguuni pa Yaeli, 2 akaanguka; akalala hapo. 1 Pale alipoinama miguuni pake, 2 alianguka; 1 pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, 2 akiwa amekufa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
At her feet he bowed, he fell, he lay down: at her feet he bowed, he fell: where he bowed, there he fell down dead.
In Context
26Akanyoosha mkono wake 2 akashika kigingi cha hema, 1 mkono wake wa kuume 2 ukashika nyundo ya fundi. 1 Akampiga Sisera kwa nyundo, 2 akamponda kichwa chake, 1 akamvunjavunja na kumtoboa 2 paji lake la uso. 1
28“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; 2 nyuma ya dirisha alilia, akasema, 1 ‘Mbona gari lake linachelewa kufika? 2 Mbona vishindo vya magari yake 2 vimechelewa?’ 1
Read all of Waamuzi 5
Cross References
Matthew 7:2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 5:27