Waamuzi 5:30
‘Je, hawapati na kugawanya nyara: 2 msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, 2 mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, 2 mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, 2 mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: 1 yote haya yakiwa nyara?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Wanawake wenye busara 2 kuliko wengine wote wakamjibu; 2 naam, husema moyoni mwake, 1
Cross References
Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
2 Samuel 13:18Kwa hiyo, mtumishi wake akamtoa nje na kufunga mlango nyuma yake. Tamari alikuwa amevaa joho lililopambwa vizuri, kwa maana lilikuwa aina ya mavazi yaliyovaliwa na binti za mfalme waliokuwa mabikira.
Psalms 45:14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, 2 mabikira wenzake wanamfuata 2 na wanaletwa kwako. 1