Waamuzi 5:7
Mashujaa walikoma katika Israeli, 2 walikoma mpaka mimi, Debora, nilipoinuka, 2 nilipoinuka kama mama katika Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 4:4Debora, nabii mwanamke, mkewe Lapidothi, ndiye alikuwa anaamua Israeli wakati ule.
Esther 9:19Ndiyo sababu Wayahudi wanaokaa vijijini na katika miji midogo huadhimisha siku ya kumi na nne ya mwezi wa Adari kama siku ya furaha na karamu, siku ambayo wao hupeana zawadi mmoja kwa mwingine.
Romans 16:13Msalimuni Rufo, mteule katika Bwana, pamoja na mama yake, ambaye amekuwa mama kwangu pia. 1