Waamuzi 5:6
“Katika siku za Shamgari mwana wa Anathi, 2 katika siku za Yaeli, 1 barabara kuu hazikuwa na watu; 2 wasafiri walipita njia za kando. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Milima ilitetemeka mbele za Bwana, 2 hata ule wa Sinai, 2 mbele za Bwana, 2 Mungu wa Israeli. 1
Cross References
Judges 3:31Baada ya Ehudi akaja Shamgari mwana wa Anathi, aliyewapiga Wafilisti 600 kwa fimbo iliyochongoka ya kuongozea ngʼombe. Naye pia akawaokoa Waisraeli.
2 Chronicles 15:5Katika siku hizo hapakuwa na amani kwa yeyote aliyesafiri, kutoka wala kuingia, kwa kuwa wakazi wote wa nchi walikuwa katika machafuko makubwa.
Isaiah 33:8Njia kuu zimeachwa, 2 hakuna wasafiri barabarani. 1 Mkataba umevunjika, 2 mashahidi wake wamedharauliwa, + 33:8 Au: miji yake imedharauliwa. 2 hakuna yeyote anayeheshimiwa. 1
Lamentations 4:18Watu walituvizia katika kila hatua 2 hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu. 1 Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia, 2 kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika. 1