Waamuzi 6:17
Gideoni akajibu, “Kama basi nimepata kibali machoni pako, nipe ishara kuonyesha kweli kwamba ni wewe unayesema nami.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Bwana akamjibu, “Nitakuwa pamoja nawe, nawe utawapiga Wamidiani kana kwamba walikuwa ni mtu mmoja.”
Cross References
Exodus 4:1Mose akamjibu, “Itakuwaje kama hawataniamini au kunisikiliza, waseme, ‘ Bwana hakukutokea’?”
Exodus 33:13Ikiwa umependezwa nami, nifundishe njia zako ili nipate kukujua, nami nizidi kupata kibali mbele zako. Kumbuka kuwa taifa hili ni watu wako.”
Judges 6:36Gideoni akamwambia Mungu, “Kama utawaokoa Waisraeli kwa mkono wangu, kama ulivyoahidi:
Psalms 86:17Nipe ishara ya wema wako, 2 ili adui zangu waione nao waaibishwe, 1 kwa kuwa wewe, Ee Bwana, 2 umenisaidia na kunifariji.
Isaiah 38:7“ ‘Hii ndiyo ishara ya Bwana kwako ya kwamba Bwana atafanya kile alichoahidi: