Isaya 38:7
“ ‘Hii ndiyo ishara ya Bwana kwako ya kwamba Bwana atafanya kile alichoahidi:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu.
Cross References
Genesis 9:13Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia.
Judges 6:37tazama, nitaweka ngozi ya kondoo kwenye kiwanja cha kupuria nafaka, na kama utakuwepo umande juu ya ngozi tu, nayo ardhi yote ikiwa kavu, ndipo nitakapojua kuwa utaokoa Israeli kwa mkono wangu, kama ulivyosema.”
Isaiah 7:11“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”
Isaiah 37:30“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1