Waamuzi 8:18
Kisha akawauliza Zeba na Salmuna, “Ni watu wa aina gani mliowaua huko Tabori?” Wakajibu, “Ni watu kama wewe, kila mmoja wao akiwa na nafasi ya uana wa mfalme.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.
Cross References
Judges 4:6Akatuma wamwite Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali na kumwambia, “ Bwana, Mungu wa Israeli, anakuagiza: ‘Nenda, chukua wanaume 10,000 toka Naftali na Zabuloni, mwende Mlima Tabori.
2 Kings 1:7Mfalme akawauliza, “Alikuwa mtu wa namna gani ambaye mlikutana naye, akawaambia hili?”
Psalms 89:12Uliumba kaskazini na kusini; 2 Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha. 1
Jude 1:16Watu hawa ni wenye kunungʼunika na wenye kutafuta makosa; wao hufuata tamaa zao mbaya, hujisifu kwa maneno makuu kuhusu wao wenyewe na kuwasifu mno watu wenye vyeo kwa ajili ya kujipatia faida. 1 Maonyo Na Mausia