bible.software › Waamuzi › Waamuzi 8 › Waamuzi 8:17
Waamuzi 8:17
Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he beat down the tower of Penuel, and slew the men of the city.
In Context
16Akawachukua hao viongozi wa mji na kuwafundisha watu wa Sukothi somo kwa kuwaadhibu kwa miiba na michongoma ya nyikani.
18Kisha akawauliza Zeba na Salmuna, “Ni watu wa aina gani mliowaua huko Tabori?” Wakajibu, “Ni watu kama wewe, kila mmoja wao akiwa na nafasi ya uana wa mfalme.”
Read all of Waamuzi 8
Cross References
Judges 8:9Hivyo akawaambia watu wa Penieli, “Nitakaporudi baada ya kushinda, nitaubomoa mnara huu.”
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 8:17