bible.software › Waamuzi › Waamuzi 8 › Waamuzi 8:25
Waamuzi 8:25
Wakajibu, “Tutafurahi kuvitoa.” Hivyo wakatanda vazi chini na kila mwanaume akatupia juu yake pete kutoka kwenye fungu lake la nyara.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they answered, We will willingly give them. And they spread a garment, and did cast therein every man the earrings of his prey.
In Context
24Naye akasema, “Ninalo ombi moja, kwamba kila mmoja wenu anipatie kipuli kutoka kwenye fungu lake la nyara.” (Ilikuwa desturi ya Waishmaeli kuvaa vipuli vya dhahabu.)
26Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilifikia shekeli 1,700, + 8:26 Shekeli 1,700 ni sawa na kilo 19.5. bila kuhesabu mapambo mengine, pete za masikio na mavazi ya zambarau yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani, au mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia zao.
Read all of Waamuzi 8
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 8:25