Waamuzi 8:26
Uzito wa pete za dhahabu alizoomba zilifikia shekeli 1,700, + 8:26 Shekeli 1,700 ni sawa na kilo 19.5. bila kuhesabu mapambo mengine, pete za masikio na mavazi ya zambarau yaliyovaliwa na wafalme wa Midiani, au mikufu iliyokuwa kwenye shingo za ngamia zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Esther 8:15Mordekai akaondoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme ya buluu na nyeupe, taji kubwa la dhahabu na joho la zambarau la kitani safi. Na mji wa Shushani ukasherehekea kwa furaha.
Ezekiel 27:7Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako, 2 nacho kilikuwa bendera yako; 1 chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambarau 2 kutoka visiwa vya Elisha. 1
John 19:2Askari wakasokota taji ya miiba, wakamvika Yesu kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.
Revelation 17:4Huyo mwanamke alikuwa amevaa mavazi ya rangi ya zambarau na nyekundu, akimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu. Mkononi mwake alikuwa ameshika kikombe cha dhahabu kilichojaa mambo ya machukizo na uchafu wa uzinzi wake.
Revelation 18:16“ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, 2 uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, 2 ya rangi ya zambarau na nyekundu, 1 ukimetameta kwa dhahabu, 2 vito vya thamani na lulu! 1