Waamuzi 9:27
Wakaenda mashambani mwao kuvuna zabibu na kuzisindika hizo zabibu, wakafanya sikukuu katika hekalu la mungu wao. Wakati wakila na kunywa, wakamlaani Abimeleki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:6Kwa hiyo siku iliyofuata watu wakaamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketeza na sadaka za amani. Baadaye watu wakaketi kula na kunywa, nao wakasimama, wakajizamisha katika sherehe.
Leviticus 24:11Huyu mwana wa mwanamke Mwisraeli akalikufuru Jina la Bwana kwa kulaani; kwa hiyo wakamleta kwa Mose. (Jina la mama yake aliitwa Shelomithi binti wa Dibri, wa kabila la Dani.)
Judges 9:4Wakampa shekeli sabini + 9:4 Shekeli 70 za fedha ni sawa na gramu 800. za fedha kutoka hekalu la Baal-Berithi, naye Abimeleki akaitumia kuajiri watu ovyo wasiojali, wakawa ndio wafuasi wake.
Judges 16:23Basi viongozi wa Wafilisti wakakusanyika pamoja ili kutoa kafara kwa mungu wao Dagoni na kufanya karamu, wakisema, “Mungu wetu amemtia adui yetu Samsoni mikononi mwetu.”
Psalms 109:17Alipenda kulaani, 2 nayo laana ikampata; 1 hakupenda kubariki, 2 kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 1
Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1