The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 22 › Isaya 22:12

Isaya 22:12

Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And in that day did the Lord GOD of hosts call to weeping, and to mourning, and to baldness, and to girding with sackcloth:

In Context

11Mlijenga bwawa la maji katikati ya kuta mbili 2 kwa ajili ya maji ya Bwawa la Zamani, 1 lakini hamkumtazama Yule aliyelitengeneza, 2 au kuwa na heshima kwa Yule aliyeubuni tangu zamani za kale. 1

13Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, 2 kuchinja ngʼombe na kuchinja kondoo, 2 kula nyama na kunywa mvinyo! 1 Mnasema, “Tuleni na kunywa, 2 kwa kuwa kesho tutakufa!”

Read all of Isaya 22

Cross References

2 Chronicles 35:25Nabii Yeremia akatunga maombolezo kwa ajili ya kifo chake, nao waimbaji wote, wanaume kwa wanawake, hufanya ukumbusho wa Yosia katika maombolezo hadi leo. Haya yakafanywa desturi katika Israeli, nayo yameandikwa katika Maombolezo.

Nehemiah 8:9Ndipo Nehemia aliyekuwa mtawala, + 8:9 Au Tirshatha : jina la heshima aliloitwa mtawala wa Yuda chini ya Ufalme wa Uajemi. Ezra kuhani na mwandishi, pamoja na Walawi waliokuwa wakiwafundisha watu wakawaambia wote, “Siku hii ni takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Msiomboleze wala msilie.” Kwa kuwa watu wote walikuwa wakilia walipokuwa wakisikiliza maneno ya ile Sheria.

Job 1:20Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu

Ecclesiastes 3:11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua kwa kina yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho.

Isaiah 37:1Mfalme Hezekia aliposikia haya, akararua nguo zake na kuvaa nguo ya gunia, naye akaenda katika Hekalu la Bwana.

Jeremiah 4:8Hivyo vaeni nguo za magunia, 2 ombolezeni na kulia kwa huzuni, 1 kwa kuwa hasira kali ya Bwana 2 haijaondolewa kwetu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 22:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 22:11Isaya 22Isaya 22:13 →