bible.software › Waamuzi › Waamuzi 9 › Waamuzi 9:30
Waamuzi 9:30
Zebuli aliyekuwa mtawala wa mji aliposikia aliyosema Gaali mwana wa Ebedi, akakasirika sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Zebul the ruler of the city heard the words of Gaal the son of Ebed, his anger was kindled.
In Context
29Laiti watu hawa wangekuwa chini ya amri yangu! Basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ondoa jeshi lako lote.’ ”
31Akatuma ujumbe uende kwa Abimeleki kwa siri na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.
Read all of Waamuzi 9
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 9:30