Waamuzi 9:31
Akatuma ujumbe uende kwa Abimeleki kwa siri na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Zebuli aliyekuwa mtawala wa mji aliposikia aliyosema Gaali mwana wa Ebedi, akakasirika sana.
32Sasa, basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.