Waamuzi 9:38
Ndipo Zebuli akamwambia, “Kuko wapi kujivuna kwako sasa, wewe uliyesema, ‘Huyo Abimeleki ni nani hata tumtumikie?’ Hawa si wale watu uliowadharau? Toka nje sasa ukapigane nao!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
39Basi Gaali akatoka akawaongoza watu wa Shekemu kupigana na Abimeleki.
Cross References
1 Samuel 2:3“Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo 2 wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, 1 kwa kuwa Bwana ndiye Mungu ajuaye, 2 na kwa yeye matendo hupimwa. 1
2 Kings 14:8Kisha Amazia akatuma wajumbe kwa Yehoashi mwana wa Yehoahazi, mwana wa Yehu, mfalme wa Israeli, akisema, “Njoo, tuonane uso kwa uso.”