The Bible Software
bible.software1 Samweli1 Samweli 2 › 1 Samweli 2:3

1 Samweli 2:3

“Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo 2 wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, 1 kwa kuwa Bwana ndiye Mungu ajuaye, 2 na kwa yeye matendo hupimwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Talk no more so exceeding proudly; let not arrogancy come out of your mouth: for the LORD is a God of knowledge, and by him actions are weighed.

In Context

2“Hakuna yeyote aliye mtakatifu kama Bwana, 2 hakuna mwingine zaidi yako; 2 hakuna Mwamba kama Mungu wetu. 1

4“Pinde za mashujaa zimevunjika, 2 lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu. 1

Read all of 1 Samweli 2

Cross References

Joshua 22:22“Yeye Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana! Yeye Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana! Yeye anajua! Israeli na wajue! Kama huu umekuwa ni uasi au kukosa utii kwa Bwana, msituache hai siku hii ya leo.

1 Samuel 16:7Lakini Bwana akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. Bwana hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini Bwana hutazama moyoni.”

Job 31:6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, 2 naye atajua kwamba sina hatia: 1

Psalms 94:4Wanamimina maneno ya kiburi, 2 watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 1

Psalms 147:5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, 2 ufahamu wake hauna kikomo. 1

Proverbs 16:2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, 2 bali makusudi hupimwa na Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 2:21 Samweli 21 Samweli 2:4 →