bible.software › Waamuzi › Waamuzi 9 › Waamuzi 9:52
Waamuzi 9:52
Abimeleki akaja kwenye ule mnara na kuushambulia, lakini alipokaribia kwenye ingilio la mnara ili kuuchoma kwa moto,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abimelech came unto the tower, and fought against it, and went hard unto the door of the tower to burn it with fire.
In Context
51Hata hivyo, ndani ya huo mji kulikuwa na mnara imara, ambako watu wote wa mji wanaume na wanawake, watu wote wa mji, walikimbilia ndani yake. Wakajifungia ndani yake na kupanda juu ya paa la mnara.
53mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia juu ya kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
Read all of Waamuzi 9
Cross References
2 Kings 14:10Hakika umeishinda Edomu, na sasa unajivuna. Jisifu katika ushindi wako, lakini kaa nyumbani kwako! Kwa nini unachokoza na kujiletea anguko lako mwenyewe na la Yuda pia?”
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 9:52