Waamuzi 9:53
mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia juu ya kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And a certain woman cast a piece of a millstone upon Abimelech’s head, and all to brake his skull.
In Context
Cross References
Judges 4:9Debora akamwambia, “Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini njia unayoiendea haitakupa heshima wewe, kwa kuwa Bwana atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Hivyo Debora akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi,
Judges 9:20Lakini kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na uwateketeze, ninyi watu wa Shekemu na Beth-Milo, nao moto utoke kwenu, watu wa Shekemu na Beth-Milo umteketeze Abimeleki!”
2 Samuel 20:21Hivyo sivyo ilivyo. Mtu mmoja jina lake Sheba mwana wa Bikri, kutoka nchi ya vilima vya Efraimu, ameinua mkono wake dhidi ya mfalme, dhidi ya Daudi. Nikabidhini mtu huyu mmoja, nami nitajiondoa katika mji huu.” Huyu mwanamke akamwambia Yoabu, “Kichwa chake mtatupiwa kupitia juu ya ukuta.”
Jeremiah 49:20Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu, 2 kile alichokusudia dhidi ya wale waishio Temani: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali; 2 yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1