Lamentations 2:3
Katika hasira kali amevunja 2 kila pembe + 2:3 Pembe inawakilisha nguvu; pia 2:17. ya Israeli. 1 Ameuondoa mkono wake wa kuume 2 alipokaribia adui. 1 Amemteketeza Yakobo kama moto uwakao 2 ule uteketezao kila kitu kinachouzunguka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 34:25Kwa sababu wameniacha mimi na kufukiza uvumba kwa miungu mingine na kunighadhibisha kwa kazi yote ya mikono yao, hivyo hasira yangu itamwagwa juu ya mahali hapa, wala haitatulizwa.’
Psalms 74:11Kwa nini unazuia mkono wako, 2 mkono wako wa kuume? 1 Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako 2 na uwaangamize! 1
Psalms 75:10Nitazikatilia mbali pembe za waovu wote, 2 bali pembe za wenye haki zitainuliwa juu.
Psalms 89:24Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, 2 kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. 1
Psalms 132:17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe, + 132:17 Pembe inawakilisha nguvu. 2 na kuweka taa kwa ajili ya masiya + 132:17 Masiya yaani mpakwa mafuta. wangu. 1
Isaiah 42:25Hivyo akawamwagia hasira yake inayowaka, 2 ukali wa vita. 1 Iliwazunguka kwa miali ya moto, lakini hata hivyo hawakuelewa; 2 iliwateketeza, lakini hawakuyatia moyoni.