Isaya 42:25
Hivyo akawamwagia hasira yake inayowaka, 2 ukali wa vita. 1 Iliwazunguka kwa miali ya moto, lakini hata hivyo hawakuelewa; 2 iliwateketeza, lakini hawakuyatia moyoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:15nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu na hivyo mkavunja agano langu,
2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.
Isaiah 9:13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Isaiah 47:7Ukasema, ‘Nitaendelea 2 kuwa malkia milele!’ 1 Lakini hukutafakari mambo haya 2 wala hukuwaza juu ya kile kingeweza kutokea. 1
Isaiah 57:11“Ni nani uliyemhofu hivyo na kumwogopa 2 hata ukawa mwongo kwangu, 1 wala hukunikumbuka 2 au kutafakari hili moyoni mwako? 1 Si ni kwa sababu nimekuwa kimya muda mrefu 2 hata huniogopi? 1
Jeremiah 12:11Litafanywa kuwa jangwa, 2 lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu; 1 nchi yote itafanywa jangwa 2 kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali. 1