Lamentations 3:1
Mimi ndiye mtu aliyeona mateso 2 kwa fimbo ya ghadhabu yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I am the man that hath seen affliction by the rod of his wrath.
In Context
2Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee 2 gizani wala si katika nuru; 1
Cross References
Psalms 71:20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, 2 utanihuisha tena, 1 kutoka vilindi vya dunia 2 utaniinua tena. 1
Psalms 88:15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; 2 nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 1
Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1
Jeremiah 15:17Kamwe sikuketi katika kundi la wafanyao sherehe, 2 wala kamwe sikujifurahisha pamoja nao; 1 niliketi peke yangu kwa sababu mkono wako ulikuwa juu yangu, 2 na wewe ulikuwa umenijaza hasira. 1
Jeremiah 20:18Kwa nini basi nilitoka tumboni 2 ili kuona taabu na huzuni, 2 na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Lamentations 1:12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1