The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 1 › Maombolezo 1:12

Maombolezo 1:12

“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is it nothing to you, all ye that pass by? behold, and see if there be any sorrow like unto my sorrow, which is done unto me, wherewith the LORD hath afflicted me in the day of his fierce anger.

In Context

11Watu wake wote wanalia kwa uchungu 2 watafutapo chakula; 1 wanabadilisha hazina zao kwa chakula 2 ili waweze kuendelea kuishi. 1 “Tazama, Ee Bwana, ufikiri, 2 kwa maana nimedharauliwa.” 1

13“Kutoka juu alipeleka moto, 2 akaushusha katika mifupa yangu. 1 Aliitandia wavu miguu yangu 2 na akanirudisha nyuma. 1 Akanifanya mkiwa, 2 na mdhaifu mchana kutwa. 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Jeremiah 10:19Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu! 2 Jeraha langu ni kubwa! 1 Lakini nilisema, 2 “Kweli hii ni adhabu yangu, 2 nami sharti niistahimili.” 1

Jeremiah 30:24Hasira kali ya Bwana haitarudi nyuma 2 mpaka atakapotimiza makusudi yote ya moyo wake. 1 Siku zijazo 2 mtayaelewa haya.

Lamentations 2:13Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? 2 Nikulinganishe na nini, 2 ee Binti Yerusalemu? 1 Nitakufananisha na nini, 2 ili nipate kukufariji, 2 ee Bikira Binti Sayuni? 1 Jeraha lako lina kina kama bahari. 2 Ni nani awezaye kukuponya? 1

Daniel 9:12Umetimiza maneno uliyosema dhidi yetu na dhidi ya watawala wetu, kwa kuleta maafa makubwa juu yetu. Chini ya mbingu yote kamwe hapajatendeka kitu kama kile kilichotendeka kwa Yerusalemu.

Luke 21:22Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:11Maombolezo 1Maombolezo 1:13 →