The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 3 › Maombolezo 3:18

Maombolezo 3:18

Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka 2 na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I said, My strength and my hope is perished from the LORD:

In Context

17Amani yangu imeondolewa, 2 nimesahau kufanikiwa ni nini. 1

19Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, 2 uchungu na nyongo. 1

Read all of Maombolezo 3

Cross References

Job 6:11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? 2 Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 1

Psalms 31:22Katika hofu yangu nilisema, 2 “Nimekatiliwa mbali na macho yako!” 1 Hata hivyo ulisikia kilio changu 2 ukanihurumia nilipokuita unisaidie. 1

Ezekiel 37:11Ndipo akaniambia: “Mwanadamu, mifupa hii ni nyumba yote ya Israeli. Nao wanasema, ‘Mifupa yetu imekauka na tumaini letu limetoweka, tumekatiliwa mbali.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 3:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 3:17Maombolezo 3Maombolezo 3:19 →