The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 3 › Lamentations 3:19

Lamentations 3:19

Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, 2 uchungu na nyongo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Remembering mine affliction and my misery, the wormwood and the gall.

In Context

18Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka 2 na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.” 1

20Ninayakumbuka vyema, 2 nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 1

Read all of Lamentations 3

Cross References

Nehemiah 9:32“Basi sasa, Ee Mungu wetu, uliye mkuu, mwenye nguvu na Mungu wa kuogofya, mwenye kushika agano lake la upendo, usiache taabu hizi zote zionekane kuwa kitu kidogo mbele za macho yako, taabu hizi zilizotupata, juu ya wafalme wetu na viongozi, juu ya makuhani wetu na manabii, juu ya baba zetu na watu wako wote, tangu siku za wafalme wa Ashuru hadi leo.

Psalms 89:47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. 2 Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 1

Psalms 132:1Ee Bwana, mkumbuke Daudi 2 na taabu zote alizozistahimili. 1

Lamentations 3:5Amenizingira na kunizunguka 2 kwa uchungu na taabu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 3:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 3:18Lamentations 3Lamentations 3:20 →