The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 3 › Maombolezo 3:24

Maombolezo 3:24

Nimeiambia nafsi yangu, “ Bwana ni fungu langu, 2 kwa hiyo nitamngojea.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD is my portion, saith my soul; therefore will I hope in him.

In Context

23Ni mpya kila asubuhi, 2 uaminifu wako ni mkuu. 1

25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, 2 kwa yule ambaye humtafuta; 1

Read all of Maombolezo 3

Cross References

Deuteronomy 18:2Hawatakuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao; Bwana ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.

1 Chronicles 5:20Walisaidiwa katika kupigana nao, Mungu akawatia Wahagari pamoja na wote walioungana nao mikononi mwao, kwa sababu walimlilia Mungu wakati wa vita. Alijibu maombi yao, kwa sababu walimtegemea.

Job 22:25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, 2 naye atakuwa fedha yako iliyo bora. 1

Psalms 31:24Kuweni hodari na mjipe moyo, 2 ninyi nyote mnaomtumaini Bwana.

Psalms 42:11Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na Mungu wangu.

Psalms 62:8Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote, 2 miminieni mioyo yenu kwake, 2 kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 3:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 3:23Maombolezo 3Maombolezo 3:25 →