Maombolezo 3:23
Ni mpya kila asubuhi, 2 uaminifu wako ni mkuu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They are new every morning: great is thy faithfulness.
In Context
22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, 2 kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 1
24Nimeiambia nafsi yangu, “ Bwana ni fungu langu, 2 kwa hiyo nitamngojea.” 1
Cross References
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
Psalms 36:5Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, 2 uaminifu wako hadi kwenye anga. 1
Psalms 89:1Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele; 2 kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako 2 ujulikane kwa vizazi vyote. 1
Psalms 146:6Muumba wa mbingu na nchi, 2 na bahari na vyote vilivyomo ndani yake: 1 Bwana anayedumu kuwa mwaminifu 2 milele na milele. 1
Zephaniah 3:5Bwana aliye ndani yake ni mwenye haki, 2 hafanyi kosa. 1 Asubuhi kwa asubuhi hutoa haki yake, 2 kila kukipambazuka huitimiza, 2 bali mtu dhalimu hana aibu. 1
Hebrews 6:18Mungu alifanya hivyo ili kwa vitu viwili visivyobadilika, yaani ahadi yake na kiapo chake, ambavyo kwavyo Mungu hawezi kusema uongo, sisi ambao tumemkimbilia ili tulishike lile tumaini lililowekwa mbele yetu tuwe na faraja thabiti.