The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 3 › Maombolezo 3:30

Maombolezo 3:30

Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, 2 na ajazwe na aibu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He giveth his cheek to him that smiteth him: he is filled full with reproach.

In Context

29Na azike uso wake mavumbini 2 bado panawezekana kuwa na matumaini. 1

31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali 2 na Bwana milele. 1

Read all of Maombolezo 3

Cross References

Job 30:10Wananichukia sana na kujitenga nami, 2 wala hawasiti kunitemea mate usoni. 1

Psalms 69:20Dharau zimenivunja moyo 2 na nimekata tamaa, 1 nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, 2 wa kunituliza, lakini sikumpata. 1

Isaiah 50:6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, 2 mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu; 1 sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha 2 na kutemewa mate. 1

Matthew 5:39Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia.

Luke 6:29Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyangʼanya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 3:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 3:29Maombolezo 3Maombolezo 3:31 →