Maombolezo 3:29
Na azike uso wake mavumbini 2 bado panawezekana kuwa na matumaini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He putteth his mouth in the dust; if so be there may be hope.
In Context
28Na akae peke yake awe kimya, 2 kwa maana Bwana ameiweka juu yake. 1
30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, 2 na ajazwe na aibu. 1
Cross References
2 Chronicles 33:12Katika dhiki yake akamsihi Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Job 42:5Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, 2 lakini sasa macho yangu yamekuona. 1
Ezekiel 16:63Basi, nitakapofanya upatanisho kwa ajili yako, kwa yale yote uliyoyatenda, utakumbuka na kuaibika, nawe kamwe hutafumbua tena kinywa chako kwa sababu ya aibu yako, asema Bwana Mwenyezi.’ ”
Jonah 3:9Ni nani ajuaye? Huenda Mungu akaghairi kwa huruma yake akaacha hasira yake kali ili tusiangamie.”
Luke 15:18Nitaondoka na kurudi kwa baba yangu na kumwambia: Baba, nimetenda dhambi mbele za Mungu na mbele yako.
Romans 3:19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.