Maombolezo 3:41
Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu 2 kwa Mungu mbinguni, na tuseme: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let us lift up our heart with our hands unto God in the heavens.
In Context
40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, 2 na tumrudie Bwana Mungu. 1
42“Tumetenda dhambi na kuasi 2 nawe hujasamehe. 1
Cross References
Job 11:13“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake 2 na kumwinulia mikono yako, 1
Psalms 28:2Sikia kilio changu unihurumie 2 ninapokuita kwa ajili ya msaada, 1 niinuapo mikono yangu kuelekea 2 Patakatifu pa Patakatifu pako. 1
Psalms 86:4Mpe mtumishi wako furaha, 2 kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana, 2 ninainua nafsi yangu. 1
Psalms 141:2Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; 2 kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni. 1
Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1