Maombolezo 3:56
Ulisikia ombi langu: “Usikizibie masikio yako 2 kilio changu nikuombapo msaada.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast heard my voice: hide not thine ear at my breathing, at my cry.
In Context
55Nililiitia jina lako, Ee Bwana, 2 kutoka vina vya shimo. 1
57Ulikuja karibu nilipokuita, 2 nawe ukasema, “Usiogope.” 1
Cross References
2 Chronicles 33:19Maombi yake, pamoja na jinsi Mungu alivyoguswa na kusihi kwake, pia dhambi zake zote na kukosa kwake uaminifu pamoja na sehemu alizojenga mahali pa juu pa kuabudia miungu, kule kusimamisha nguzo za Ashera na sanamu kabla ya kujinyenyekeza kwake, yote yameandikwa katika kumbukumbu za waonaji.
Psalms 3:4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, 2 naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 1
Psalms 5:3Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana; 2 asubuhi naleta haja zangu mbele zako, 2 na kusubiri kwa matumaini. 1
Psalms 6:9Bwana amesikia kilio changu kwa huruma, 2 Bwana amekubali sala yangu. 1
Psalms 55:1Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, 2 wala usidharau hoja yangu. 1
Psalms 55:18Huniokoa nikawa salama katika vita 2 vilivyopangwa dhidi yangu, 2 ingawa watu wengi hunipinga. 1