Lamentations 3:55
Nililiitia jina lako, Ee Bwana, 2 kutoka vina vya shimo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I called upon thy name, O LORD, out of the low dungeon.
In Context
54maji yalifunika juu ya kichwa changu, 2 nami nikafikiri nilikuwa karibu 2 kukatiliwa mbali. 1
56Ulisikia ombi langu: “Usikizibie masikio yako 2 kilio changu nikuombapo msaada.” 1
Cross References
2 Chronicles 33:11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Psalms 40:1Nilimngoja Bwana kwa saburi, 2 naye akaniinamia, akasikia kilio changu. 1
Psalms 116:3Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1
Psalms 142:3Wakati roho yangu inapozimia ndani yangu, 2 wewe ndiwe unajua njia zangu. 1 Katika njia ninayopita 2 watu wameniwekea mtego. 1
Jonah 2:2Akasema: 1 “Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 naye akanijibu. 1 Kutoka kina cha kaburi + 2:2 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. niliomba msaada, 2 nawe ukasikiliza kilio changu. 1
Acts 16:24Kufuata maelekezo haya, yule mkuu wa gereza akawaweka katika chumba cha ndani sana mle gerezani, na akawafunga miguu yao kwa minyororo.