Lamentations 3:6
Amenifanya niishi gizani 2 kama wale waliokufa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath set me in dark places, as they that be dead of old.
In Context
5Amenizingira na kunizunguka 2 kwa uchungu na taabu. 1
7Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, 2 amenifunga kwa minyororo mizito. 1
Cross References
Psalms 88:5Nimetengwa pamoja na wafu, 2 kama waliochinjwa walalao kaburini, 1 ambao huwakumbuki tena, 2 ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. 1
Psalms 143:7Ee Bwana, unijibu haraka, 2 roho yangu inazimia. 1 Usinifiche uso wako, 2 ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni. 1