Maombolezo 3:7
Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, 2 amenifunga kwa minyororo mizito. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath hedged me about, that I cannot get out: he hath made my chain heavy.
In Context
6Amenifanya niishi gizani 2 kama wale waliokufa. 1
8Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, 2 anakataa kupokea maombi yangu. 1
Cross References
Job 3:23Kwa nini uhai hupewa mtu 2 ambaye njia yake imefichika, 2 ambaye Mungu amemzungushia boma? 1
Psalms 88:8Umenitenga na rafiki zangu wa karibu 2 na kunifanya chukizo kwao. 1 Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka; 2
Jeremiah 38:6Basi wakamchukua Yeremia na kumtia kwenye kisima cha Malkiya, mwana wa mfalme, kilichokuwa katika ua wa walinzi. Wakamteremsha Yeremia kwa kamba ndani ya kisima. Hakikuwa na maji ndani yake, ila tope tu, naye Yeremia akazama ndani ya matope.
Lamentations 1:14“Dhambi zangu zimefungwa kwenye nira, 2 kwa mikono yake zilifumwa pamoja. 1 Zimefika shingoni mwangu 2 na Bwana ameziondoa nguvu zangu. 1 Amenitia mikononi mwa wale 2 ambao siwezi kushindana nao. 1
Lamentations 5:5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, 2 tumechoka na hakuna pumziko. 1
Hosea 2:6Kwa hiyo mimi Mungu nitaizuia njia yake 2 kwa vichaka vya miiba, 1 nitamjengea ukuta ili kwamba 2 asiweze kutoka. 1