bible.software › Maombolezo › Maombolezo 4 › Maombolezo 4:15
Maombolezo 4:15
Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi! 2 Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!” 1 Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko, 2 watu miongoni mwa mataifa wanasema, 2 “Hawawezi kukaa hapa zaidi.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They cried unto them, Depart ye; it is unclean; depart, depart, touch not: when they fled away and wandered, they said among the heathen, They shall no more sojourn there.
In Context
14Sasa wanapapasa papasa barabarani 2 kama watu ambao ni vipofu. 1 Wamenajisiwa kabisa kwa damu, 2 hata hakuna anayethubutu kugusa mavazi yao. 1
16Bwana mwenyewe amewatawanya; 2 hawaangalii tena. 1 Makuhani hawaonyeshwi heshima, 2 wazee hawakubaliki. 1
Read all of Maombolezo 4
Cross References
Leviticus 13:45“Mtu mwenye ugonjwa kama huo wa kuambukiza ni lazima avae nguo zilizoraruka, awachilie nywele zake bila kuzichana, afunike sehemu ya chini ya uso wake, na apige kelele, ‘Najisi! Najisi!’
This Verse In Other Editions
Study Maombolezo 4:15