The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 4 › Lamentations 4:16

Lamentations 4:16

Bwana mwenyewe amewatawanya; 2 hawaangalii tena. 1 Makuhani hawaonyeshwi heshima, 2 wazee hawakubaliki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The anger of the LORD hath divided them; he will no more regard them: they respected not the persons of the priests, they favoured not the elders.

In Context

15Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi! 2 Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!” 1 Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko, 2 watu miongoni mwa mataifa wanasema, 2 “Hawawezi kukaa hapa zaidi.” 1

17Zaidi ya hayo, macho yetu yalichoka, 2 kwa kutazamia bure msaada; 1 tuliangalia kutoka minara yetu 2 kwa taifa lisiloweza kutuokoa. 1

Read all of Lamentations 4

Cross References

Genesis 49:7Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, 2 nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! 1 Nitawatawanya katika Yakobo 2 Na kuwasambaza katika Israeli. 1

Deuteronomy 28:25Bwana atakufanya ushindwe mbele ya adui zako. Utawajia kwa njia moja lakini utawakimbia mbele yao kwa njia saba, nawe utakuwa kitu cha kuchukiza kwa falme zote za dunia.

Deuteronomy 32:26Nilisema ningewatawanya 2 na kufuta kumbukumbu lao 2 katika mwanadamu. 1

2 Kings 25:21Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme wa Babeli akaamuru wanyongwe. Hivyo Yuda wakaenda utumwani, mbali na nchi yao.

Psalms 106:27kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, 2 na kuwatawanya katika nchi zote. 1

Isaiah 9:14Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, 2 tawi la mtende na tete katika siku moja. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 4:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 4:15Lamentations 4Lamentations 4:17 →