Lamentations 4:18
Watu walituvizia katika kila hatua 2 hata hatukuweza kutembea katika barabara zetu. 1 Mwisho wetu ulikuwa karibu, siku zetu zilikuwa zimetimia, 2 kwa maana mwisho wetu ulikuwa umefika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 24:14“Je, mfalme wa Israeli ametoka dhidi ya nani? Ni nani unayemfuatia? Je, ni mbwa mfu? Ni kiroboto?
Job 10:16Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, 2 na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu. 1
Jeremiah 1:12Bwana akaniambia, “Umeona vyema kwa maana ninaliangalia neno langu ili kuona kwamba limetimizwa.”
Jeremiah 37:13Lakini alipofika kwenye Lango la Benyamini, mkuu wa walinzi, ambaye jina lake lilikuwa Iriya mwana wa Shelemia mwana wa Hanania, akamkamata Yeremia na kusema, “Wewe unakwenda kujiunga na Wakaldayo!”
Jeremiah 51:33Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: 1 “Binti Babeli ni kama sakafu ya kupuria 2 wakati inapokanyagwa; 2 wakati wa kumvuna utakuja upesi.” 1
Lamentations 3:52Wale waliokuwa adui zangu bila sababu 2 wameniwinda kama ndege. 1