The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 10 › Ayubu 10:16

Ayubu 10:16

Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, 2 na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For it increaseth. Thou huntest me as a fierce lion: and again thou shewest thyself marvellous upon me.

In Context

15Kama nina hatia, ole wangu! 2 Hata kama ningekuwa sina hatia, 2 siwezi kukiinua kichwa changu, 1 kwa kuwa nimejawa na aibu, 2 na kuzama katika mateso yangu. 1

17Wewe waleta mashahidi wapya dhidi yangu 2 na kuzidisha hasira yako juu yangu; 2 nazo nguvu zako zinanijia wimbi moja baada ya jingine. 1

Read all of Ayubu 10

Cross References

Numbers 16:29Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi Bwana hakunituma mimi.

Job 5:9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, 2 miujiza isiyoweza kuhesabika. 1

Job 16:9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1

Jeremiah 5:6Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia, 2 mbwa mwitu kutoka jangwani atawaangamiza, 1 chui atawavizia karibu na miji yao, 2 ili kumrarua vipande vipande yeyote atakayethubutu kutoka nje, 1 kwa maana maasi yao ni makubwa, 2 na kukengeuka kwao kumekuwa ni kwingi. 1

Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1

Amos 3:8Simba amenguruma: 2 je, ni nani ambaye hataogopa? 1 Bwana Mwenyezi ametamka: 2 je, ni nani awezaye kukosa kutoa unabii? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 10:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 10:15Ayubu 10Ayubu 10:17 →