Maombolezo 5:1
Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, 2 tazama, nawe uione aibu yetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remember, O LORD, what is come upon us: consider, and behold our reproach.
In Context
2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, 2 na nyumba zetu kwa wageni. 1
Cross References
Nehemiah 1:3Wakaniambia, “Wale walionusurika kwenda uhamishoni, wale ambao wamerudi kwenye lile jimbo, wako katika taabu kubwa na aibu. Ukuta wa Yerusalemu umebomoka, na malango yake yamechomwa moto.”
Nehemiah 4:4Ee Mungu wetu, utusikie, kwa kuwa tumedharauliwa. Warudishie matukano yao kwenye vichwa vyao wenyewe. Uwatoe ili wawe nyara katika nchi ya waliowateka.
Job 10:9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. 2 Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 1
Psalms 74:10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? 2 Je, adui watalitukana jina lako milele? 1
Psalms 79:4Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu, 2 cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka. 1
Psalms 89:50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa, 2 jinsi ninavyovumilia moyoni mwangu dhihaka za mataifa yote, 1