Lamentations 5:2
Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, 2 na nyumba zetu kwa wageni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Our inheritance is turned to strangers, our houses to aliens.
In Context
1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, 2 tazama, nawe uione aibu yetu. 1
3Tumekuwa yatima wasio na baba, 2 mama zetu wamekuwa kama wajane. 1
Cross References
Psalms 79:1Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako, 2 wamelinajisi Hekalu lako takatifu, 2 wameifanya Yerusalemu kuwa magofu. 1
Isaiah 5:17Kondoo watajilisha kwenye malisho yao wenyewe, 2 wana-kondoo watajilisha katika magofu ya matajiri. 1
Jeremiah 6:12Nyumba zao zitapewa watu wengine, 2 pamoja na mashamba yao na wake zao, 1 nitakapounyoosha mkono wangu 2 dhidi ya wale waishio katika nchi,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 7:21Nitavitia vyote mikononi mwa wageni kuwa nyara na kuwa vitu vilivyotekwa mikononi mwa watu waovu wa dunia, nao watavinajisi.
Zephaniah 1:13Utajiri wao utatekwa nyara, 2 nyumba zao zitabomolewa. 1 Watajenga nyumba, 2 lakini hawataishi ndani yake; 1 watapanda mizabibu 2 lakini hawatakunywa divai yake. 1 Siku Kubwa Ya Bwana 1