The Bible Software
bible.softwareLeviticusLeviticus 1 › Leviticus 1:6

Leviticus 1:6

Ataichuna hiyo sadaka ya kuteketezwa na kuikata vipande vipande.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he shall flay the burnt offering, and cut it into his pieces.

In Context

5Atamchinja yule fahali mchanga mbele za Bwana, kisha wana wa Aroni walio makuhani wataleta damu na kuinyunyiza pande zote za madhabahu yaliyo penye ingilio la Hema la Kukutania.

7Wana wa Aroni kuhani wataweka moto juu ya madhabahu na kupanga kuni juu ya huo moto.

Read all of Leviticus 1

Cross References

Leviticus 2:6Ukande na kumimina mafuta juu yake; hii ni sadaka ya nafaka.

1 Kings 18:33Akapanga kuni, akamkata yule fahali vipande vipande na kuvipanga juu ya kuni. Kisha akawaambia, “Jazeni mapipa manne maji na kuyamwaga juu ya sadaka ya kuteketezwa na juu ya kuni.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Leviticus 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Leviticus 1:5Leviticus 1Leviticus 1:7 →