Leviticus 2:6
Ukande na kumimina mafuta juu yake; hii ni sadaka ya nafaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt part it in pieces, and pour oil thereon: it is a meat offering.
In Context
7Kama sadaka yako ya nafaka imepikwa kwenye sufuria, itatengenezwa kwa unga laini na mafuta.
Cross References
Psalms 22:1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 2 Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? 2 Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 1
John 18:1Yesu alipomaliza kuomba, akaondoka na wanafunzi wake wakavuka Bonde la Kidroni. Upande wa pili palikuwa na bustani, yeye na wanafunzi wake wakaingia humo.