Leviticus 10:11
na lazima mwafundishe Waisraeli amri zote ambazo Bwana aliwapa kupitia Mose.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 24:8Pakitokea magonjwa ya ngozi ya kuambukiza, mwe waangalifu sana kufanya sawasawa na maagizo ya makuhani, ambao ni Walawi. Ni lazima mfuate kwa uangalifu yale niliyowaamuru.
2 Chronicles 15:3Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha na wala hawakuwa na sheria.
2 Chronicles 30:22Hezekia akazungumza akiwatia moyo Walawi wote, ambao walionyesha ustadi katika kumtumikia Bwana. Hivyo watu wakala chakula cha sikukuu kwa siku saba, wakitoa sadaka za amani na kumshukuru Bwana, Mungu wa baba zao.
Nehemiah 8:8Walisoma kutoka kile Kitabu cha Sheria ya Mungu, wakiifafanua na kuwapa maelezo ili watu waweze kufahamu kile kilichokuwa kikisomwa.
Jeremiah 2:8Makuhani hawakuuliza, 2 ‘Yuko wapi Bwana?’ 1 Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; 2 viongozi waliasi dhidi yangu. 1 Manabii walitabiri kwa jina la Baali, 2 wakifuata sanamu zisizofaa. 1
Malachi 2:7“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.