Leviticus 11:10
Lakini viumbe wote ndani ya bahari au vijito wasio na mapezi na magamba, wakiwa miongoni mwa makundi au viumbe wote ndani ya maji, hao ni machukizo kwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Nao watakuwa machukizo kwenu. Msile nyama yao, nayo mizoga yao itakuwa machukizo.
Cross References
Deuteronomy 14:3Msile kitu chochote ambacho ni machukizo.
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Revelation 21:8Lakini waoga, wasioamini, wachafu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, pamoja na waongo wote, mahali pao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.”