The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 13 › Proverbs 13:20

Proverbs 13:20

Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that walketh with wise men shall be wise: but a companion of fools shall be destroyed.

In Context

19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, 2 bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 1

21Balaa humwandama mtenda dhambi, 2 bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. 1

Read all of Proverbs 13

Cross References

Genesis 13:12Abramu akaishi katika nchi ya Kanaani, wakati Loti aliishi miongoni mwa miji ya lile bonde na kupiga mahema yake karibu na Sodoma.

1 Kings 12:8Lakini Rehoboamu akakataa shauri alilopewa na wazee na akataka ushauri kwa vijana wanaume rika lake waliokuwa wakimtumikia.

1 Kings 22:4Kwa hiyo akamuuliza Yehoshafati, “Je, utakwenda pamoja nami kupigana dhidi ya Ramoth-Gileadi?” Yehoshafati akamjibu mfalme wa Israeli, “Mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, farasi wangu ni kama farasi wako.”

2 Chronicles 19:2Yehu mwonaji, mwana wa Hanani, akapanda kwenda kuonana naye akamwambia Mfalme Yehoshafati, “Je, utawasaidia waovu na kuwapenda wale wanaomchukia Bwana? Kwa sababu ya jambo hili, ghadhabu ya Bwana iko juu yako.

Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1

Proverbs 7:22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 13:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 13:19Proverbs 13Proverbs 13:21 →