Walawi 11:19
korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the stork, the heron after her kind, and the lapwing, and the bat.
In Context
20“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu.
Cross References
Psalms 104:17Humo ndege hufanya viota vyao, 2 korongo ana nyumba yake kwenye msunobari. 1
Zechariah 5:9Kisha nikatazama juu: na pale mbele yangu, walikuwepo wanawake wawili, wakiwa na upepo katika mabawa yao! Walikuwa na mabawa kama ya korongo, nao wakainua kile kikapu na kuruka nacho kati ya mbingu na nchi.