Zekaria 5:9
Kisha nikatazama juu: na pale mbele yangu, walikuwepo wanawake wawili, wakiwa na upepo katika mabawa yao! Walikuwa na mabawa kama ya korongo, nao wakainua kile kikapu na kuruka nacho kati ya mbingu na nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Nikamuuliza yule malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Wanakipeleka wapi hicho kikapu?”
Cross References
Leviticus 11:19korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo.
Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.
Matthew 24:28Kwa maana popote ulipo mzoga, huko ndiko wakusanyikapo tai. 1 Kuja Kwa Mwana Wa Adamu (Marko 13:24-31; Luka 21:25-33)