Leviticus 12:3
Mvulana atatahiriwa siku ya nane.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the eighth day the flesh of his foreskin shall be circumcised.
In Context
Cross References
Genesis 17:11Mtafanyiwa tohara na hii itakuwa ni alama ya Agano kati yangu na ninyi.
Leviticus 15:3Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi:
Luke 1:59Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake.
John 7:22Lakini kwa kuwa Mose aliwaamuru tohara (ingawa kwa kweli haikutoka kwa Mose bali kwa baba zenu wakuu), mnamtahiri mtoto hata siku ya Sabato.
Romans 4:11Alipewa ishara ya tohara kuwa muhuri wa haki aliyokuwa nayo kwa imani hata alipokuwa bado hajatahiriwa. Kusudi lilikuwa kumfanya baba wa wote wale waaminio pasipo kutahiriwa na ambao wamehesabiwa haki.
Galatians 5:3Namshuhudia tena kila mtu anayekubali kutahiriwa kwamba inampasa kushika sheria yote.