Luka 1:59
Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
60Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.”
Cross References
Genesis 21:3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia.
Luke 2:21Hata zilipotimia siku nane, ulikuwa ndio wakati wa kumtahiri mtoto, akaitwa Yesu, jina alilokuwa amepewa na malaika kabla hajatungwa mimba. 1 Yesu Apelekwa Hekaluni
Philippians 3:5Nilitahiriwa siku ya nane, mimi ni Mwisraeli wa kabila la Benyamini, Mwebrania wa Waebrania. Kwa habari ya sheria, ni Farisayo,