Leviticus 13:44
mtu huyo ni mgonjwa, na ni najisi. Kuhani atamtangaza kuwa najisi kwa sababu ya kidonda kwenye kichwa chake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 36:14Wanakufa wangali vijana, 2 miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu. 1
Matthew 6:23Lakini kama jicho lako ni ovu, mwili wako wote utajawa na giza. Kwa hiyo basi, kama nuru iliyomo ndani yako ni giza, hilo ni giza kuu namna gani! 1 Mungu Na Mali (Luka 16:13; 12:22-31)
2 John 1:8Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.